HOME

  Mwigizaji wa filamu za James Bond ‘Sir Roger Moore...
  Mwigizaji wa filamu za James Bond ‘Sir Roger Moore’ amefariki dunia leo May,23 2017 akiwa nchini Switzerland. Sir Roger Moore amefariki akiwa na umri wa miaka 89 aliigiza kwenye filamu 7 ...
11 hours ago.        
11 hours ago. /         

Baada ya mlipoku kuchukua watu 22 kwenye show yake, ms...
Baada ya mlipoku kuchukua watu 22 kwenye show yake, msanii wa pop Ariana Grande amerudi nyumbani kwao Marekani akiwa salama na kupokelewa na mpenzi wake Mac Miller. Ariana alitua kwenye kiwanja...
11 hours ago.        
11 hours ago. /         

Rapa BilNass amefunguka na kusema angetamani mwaka huu...
Rapa BilNass amefunguka na kusema angetamani mwaka huu ndio angeanza muziki kwa sababu ndio anamaliza chuo kwani wakati anafanya muziki na kusoma kumemfanya kupoteza fedha nyingi. Bill Nass ame...
15 hours ago.        
15 hours ago. /         

Rais wa lebo ya WCB Diamond Platnumz ameeleza moja ya ...
Rais wa lebo ya WCB Diamond Platnumz ameeleza moja ya sifa ya msanii anayetaka kuingia kundi la wasafi ni kujua kuandika wimbo au mashahiri ya nyimbo. Ameeleza kuwa ni vigumu kwa msanii kujiung...
15 hours ago.        
15 hours ago. /         

Msanii wa Hip Hop, Kala Jeremiah amemuomba Waziri wa H...
Msanii wa Hip Hop, Kala Jeremiah amemuomba Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kuifuta kauli yake kuwa wasanii waache kuimba nyimbo za siasa kwani inaleta tabaka...
15 hours ago.        
15 hours ago. /         

MUIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya nchini Baraka The P...
MUIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya nchini Baraka The Prince ametumia ukurasa wake wa Istagram kumchana muimbaji mwenzake Ben Pol baada ya msanii huyo kutuma picha kwenye ukurasa wake wa istagram a...
15 hours ago.        
15 hours ago. /         

Polisi katika mji wa Manchester nchini Uingereza wanas...
Polisi katika mji wa Manchester nchini Uingereza wanasema watu 22 wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa kwenye mulipuko uliotokea ndani ya ukumbi wa tamasha la muziki. Waziri Mkuu wa Uingereza Theres...
1 day ago.        
1 day ago. /         

Rapa Nicki Minaj amedhibitisha kulala nyumbani kwa hip...
Rapa Nicki Minaj amedhibitisha kulala nyumbani kwa hiphop staa Nas ila hawakufanya ngono… Kwenye kipindi cha Ellen, Nicki Minaj amesema “Nas ni mtu powaa, ni mfalme wa Queens New York, mimi...
1 day ago.        
1 day ago. /         

Sylvester Stallone ametuma ujumbe kuunga mkono kuigwa up...
Sylvester Stallone ametuma ujumbe kuunga mkono kuigwa upya filamu hiyo kihindi Kupokea ujumbe kutoka kwa Sylvester Stallone kuhusu kuigwa upya filamu ya Rambo kihindi ni kama "kuungwa mkono na Mung...
1 day ago.        
1 day ago. /         

 
Social Media

© 2016 PRO24 DJS | All Rights Reserved!