0%

CASH MONEY KUINADI ALBAMU MPYA WA 50 CENT

Posted By: author_2 On:


Tokeo la picha la birdman

Boss wa Cash Money, Birdman ametangaza rasmi kuwa anataka kutayarisha album mpya ya 50 Cent, na kwamba itaweza kuuza kopi milioni moja na zaidi.

Bryan “Birdman” Williams anasema amesha ongea na 50 Cent kuhusu mchongo huo ambao Birdman ameweka mezi ikini kutoa album kubwa ya hiphop na kuhakikisha inauza kopi milioni moja.

Birdman ameandika “Told  50 Cent  I wanna executive produce his next album, It’s guaranteed platinum plus.”Album ya 50 Cent chini ya Eminem na Dr Dre ‘Get Rich or Die Tryin’ iluuza kopi milioi 6 , The Massacre (5x), na Curtis (1x) na zingine zote zimefikia kopi miioni moja


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Expand
Play Cover Track Title
Track Authors