GENEVIEVE NNAJI AINGIA KWENYE KASHFA NZITO

Posted on : April 21, 2017.   35 Views. 
Mwigizaji  kutoka Nollywood , Genevieve Nnaji ameingia kwenye kashfa nzito mara baada ya kugundulika yuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.mke wa mwanaume huyo amegundulika kwa jina moja la Josephine. Kashfa hiyo imekuwa gumzo kubwa huko Nollywood mara baada ya mke wa mwanaume huyo kulalamika kwenye vyombo vya habari kuwa mrembo huyo mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya filamu amekuwa na mahusiano na mume wake. Mwanamke huyo amesema aligundua kuwa msanii huyo amekuwa na mahusiano na mume wake mara baada ya kukuta picha za msanii huyo kwenye sumu ya mume wake.Josephine ameongeza kuwa kwa sasa mume wake amehama Lagos na nahisi atakuwa amejificha mahali na Mwigizaji huyo.        
       

 
Social Media

© 2016 PRO24 DJS | All Rights Reserved!