0%

GEORGE NA AMAL CLOONEY WAFANIKIWA KUPATA MAPACHA

Posted By: author_2 On:


Tokeo la picha la George and Amal Clooney Welcome Twins

Mwigizaji maarufu George Clooney ’56’ na mke wake Amal Clooney ’39’ wamebarikiwa kupata mapacha. Watoto hao mapacha ambao ni wa kike na wakiume.wawili hao wamepata watoto hao mara baada ya  kudumu kwenye ndoa kwa muda wa miaka miwili sasa

Amal na George wamewaita watoto wao kwa majina ya  Ella na Alexander Clooney.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Expand
Play Cover Track Title
Track Authors