GIGY MONEY ”NIMEMPONZA ZAMARADI”

Posted on : October 8, 2016.   982 Views. 
gigy-money NYOTA wa kunengua katika video za muziki wa Bongo Fleva nchini Gigy Money amekitetea kipindi cha Take One kinachorushwa na televisheni ya clouds chini ya mtangazaji Zamaradi Mketema na kusema kipindi hicho kina mafunzo. Gigy aliyasema hayo mara baada ya Kamati ya Maudhuhi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kukifungia kipindi hicho kwa muda wa miezi mitatu. Gigy alisema kuwa mamlaka ina sheria na kanuni anawaomba kutoa nafasi nyingine ili kipindi hicho kiendelee kurushwa kwani ni kipindi kimoha au viwili ndivyo vilivyoharibu dhamira ya kipindi.
       

 
Social Media

© 2016 PRO24 DJS | All Rights Reserved!