JENNIFER LOPEZ MARC ANTHONY WAFANYA ALBAMU YA PAMOJA

Posted on : April 21, 2017.   25 Views. 

Image result for jlo and marc anthony

Mwanamuziki Jennifer Lopez  ambaye kwa sasa yuko studio akifanya kazi ya pamoja na aliyekuwa mume wake Marc Anthony.Wawili hao wamekuwa studio kwa muda sasa wakiwa wanaandaa Albamu yao mpya ya pamoja.Pia wamekuwa wakishirikiana kwenye kufanya matamasha wakiwa pamoja. na Easter weekend. wawili hao walifanikiwa kufanya  tamasha huko Dominican Republic

Ukaribu huo umekuwa gumzo miongozni mwa mashabiki wa wasanii hao ila wawili wameweka wazi kuwa ukaribu wao huo ni kwa ajili ya kazi za muziki tu ila kwa sasa Lopez Yuko kwenye mahusiano na mpenzi wake mpya Alex Rodriguez

       

 
Social Media

© 2016 PRO24 DJS | All Rights Reserved!