LULU DIVA “NILIFANYA NGONO KWA AJILI YA MATIBABU YA MAMA ANGU MZAZI”

Posted on : November 2, 2016.   1872 Views. 
11931228_1315720561777040_1832613106_n MUUZA sura kwenye video za bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva,’ amebainisha kuwa ameshwahi kugawa penzi kwa mzee kisa pesa za matibabu ya mama yake mzazi. Lulu aliongeza kuwa wakati akifanya tukio hilo alikuwa ni msichana mwenye umri wa miaka 18, ambaye hakuwa na kazi na ilihita kiasi cha shilingi milioni moja na nusu kwa ajili ya kulipia ghalama za matibabu ya mama yake, pesa ambazo kama familia walikuwa hawana uwezo wa kuzipata. “Kwa kuwa nilikuwa ninashida ilibidi kukubali ili tu mama yangu apate matibabu lakini kiukweli, tukio hilo mpaka leo halijafutika akilini mwangu!” alimaliza Lulu Diva.
       

 
Social Media

© 2016 PRO24 DJS | All Rights Reserved!