MARY J BLIGE AMTUSI MUME WAKE KUPITIA UKURASA WAKE WA TWITTER

Posted on : April 18, 2017.   23 Views. 
Mary J. Blige ameweka bayana kuwa kwa sasa hana mpango wa  drama kwenye maisha yake,aliyasema hayo mara baada ya kufanikiwa kumaliza mchakato wa kutengana na mume wake  Kendu Isaacs,. Mwanamuziki huyo kupitia ukurasa wake wa Twitter alitoa maneno makali yaliyoku wa yakielekezwa kwa mume wake wa zamani  Kendu Isaacs,.kitu ambacho kimezua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter alipost maneno haya “F*ck @Kenduisaacs,” read a tweet from her account. “I f*cking hate him and his whole family. I unfollowed him on IG & ALL of my fans need 2. #StrengthOfAWoman 4/28 #DuDeadDay.” Wawili hao walifanikiwa  kuishi kwenye maisha ya ndoa kwa takribani miaka 13. Mary J. Blige Tweet It’s unclear whether the Kendu-related tweet came from Mary or if her account was hacked. But the since-deleted tweet arrives in the midst of the former couple’s ongoing legal battle over their divorce, following 13 years of marriage.
       

 
Social Media

© 2016 PRO24 DJS | All Rights Reserved!