MGAHAWA WA MASTAA HUHO HOLLWOOD WAVAMIWA

Posted on : April 19, 2017.   34 Views. 
Mwanamke mmoja  ameuwawa kwa kupigwa risasi kichwani huko West Hollywood,na kufariki papo hapo,kwa mujibu wa TMZ tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jumatano mida ya saa 3 usiku,mwanamke huyo alipigwa risasi hiyo akiwa anatembea kwa miguu kwenye barabara ya Rosewood Avenue. Mhalifu hyo alienda moja kwa moja na na gari aliyokuwa akitumia hadi kwenye lango la mgahawa wa  Il  Piccolino  restaurant,mgahawa ambao wasanii maarufu mara kwa mara huwa wanapenda kwenda kujipatia chakula na mvinyo. wasaniii ambao wanapenda kwenda mara kwa mara kwenye mgahawa huo ni kama  Taylor Swift, Ryan Seacrest and Lionel Richie. Mwili wa Mwanamke huyo aliyefariki alichukuliwa na polisi wa jiji hilo L.A. County Sheriff's Dept.0:45 PM.mpaka sasa haijajulikana mhalifuu huyo alikuwa akimlenga nani kwenye eneo hilo.      
       

 
Social Media

© 2016 PRO24 DJS | All Rights Reserved!