0%

MWANAMUZIKI CIARA APUNGUA UZITO

Posted By: author_2 On:


Tokeo la picha la ciara

Mwanamuziki Ciara Harris amepoteza uzito mkubwa mara baada ya kujifungua mtoto wake wa pili.Mwezi mmoja tu mara baada ya kuifungua.Mwanamuziki huyo ambaye alifunga ndoa na Russell Wilson,Mtoto wake wa kwanza alizaa na Rapa Future

Ciara amedai wakati anajifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na Future alipoteza kilo sita ila mtoto huyu wa pili amepoteza kilo nane ila anaamini zitarudi kwa kipindi kifupi.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Expand
Play Cover Track Title
Track Authors