0%

NAS KUACHIA ALBAMU YAKE MPYA YA 11 KWENYE MAJIRA YA JOTO MWAKA HUU

Posted By: author_2 On:


Nas

Kwa mijibu wa The New York Times Rapa Nas amesema Albamu yake mpya itakuwa sokoni na kwenye majira ya joto mwaka huu.Albamu hiyo iliyotarajiwa kutoka.Rapa huyo aliweka bayana swala hilo alipokuwa akifanya mahojiano na Jarida la New York Times,kusema albamu yake hiyo itakuwa ya 11.

Mwezi April  Nas alisema kusema kupitia Billboard kuwa Albamu yake hii mpya ya 11 inatarajiwa kutoka mwaka huu.

 

 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Expand
Play Cover Track Title
Track Authors