RAIS AMEAGIZA NEY WA MITEGO AACHIWE HURU

Posted on : March 27, 2017.   788 Views. 
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ameagiza msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote vya radio na TV kwa sababu ni maoni ya mwandishi. WAZIRI wa Habari Utamaduni sanaa na michezo Dk. Harrison Mwakyembe ameliagiza Jeshi la polisi kumuachia huru msanii huyo aliyekuwa ameshikiliwa na jeshi hilo. Waziri pia ameishauri BASATA kuondoa zuio lake dhidi ya wimbo huo na baadala yake uendelee kupigwa tu kama nyimbo nyingine
       

 
Social Media

© 2016 PRO24 DJS | All Rights Reserved!